Home KITAIFA Msajili Hazina akutana na taasisi 248 Jijini Dar es Salaam

Msajili Hazina akutana na taasisi 248 Jijini Dar es Salaam

Google search engine
Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano Jijini Dar es Salaam leo

Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu leo amekutana na wenyeviti wa bodi na watendaji wakuu wa Taasisi, Mashirika ya Umma na Wakala wa Serikali ili kuweka mikakati ya namna ya kusimamia mashirika hayo kujiendesha kibiashara

Mkutano huo uliyoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina unaendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam na utahitimishwa siku ya kesho Aprili 20, 2023

Kauli mbiu ya Mkutano huo ni “Kimarisha Usimamizi na Uendeshaji wa Taasisi na Mashirika ya Umma kuelekea Uwekezaji Wenye Tija” kwa Taifa

Picha mbalimbali za baadhi washiriki wa mkutano baina ya Msajili wa Hazina na Bodi na taasisi mbalimbali za Serikali
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here