Home MICHEZO Timu zilizoingia hatua ya robo Kimwanga CUP zakabidhiwa jezi, sasa kupepetana kwa...

Timu zilizoingia hatua ya robo Kimwanga CUP zakabidhiwa jezi, sasa kupepetana kwa Bubu

Google search engine
Diwani wa Kata ya Makurumla, Bakari Kimwanga akikabidhi jezi kwa kiongozi wa Timu ya Kimba Combaine, Abdallah Kimanyo(kulia).
Diwani wa Kata ya Makurumla, Bakari Kimwanga akikabdihi jezi kwa kiongoz wa timu ya Mingle ambayo imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika mashindani ya Kimwanga CUP
Diwani wa Makurumla, Bakari Kimwanga akikabidhi jezi kwa viongozi wa timu ya TING
Mratibu wa mashindano ya Kimwanga CUP, Waziri Maseneka akitoa ufafanuzi wa kanuni kwa viongozi wa timu zilizofanikiwa kutia hatua ya robo fainali
Baadhi ya viongozi wa timu wakiwasikiliza viongozi wa mashindano hayo (hawapo pichani) wakati wa kikao cha kukabidhiwa jezi na kusomewa kanuni ndogo za mashindano hayo
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here