Home KITAIFA RAIS DK. SAMIA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU ZIARA YAKE NCHINI... KITAIFA RAIS DK. SAMIA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU ZIARA YAKE NCHINI MALAWI By Best Media - July 7, 2023 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegram Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu ziara yake nchini Malawi kwenye Mkutano uliofanyika Blantyre nchini humo tarehe 7 Julai, 2023.