Home KITAIFA RAIS MWINYI AZUNGUMZA NA MWAKILISHI NA MKURUGENZI WA OFISI YA KAMISHNA MKUU... KITAIFA RAIS MWINYI AZUNGUMZA NA MWAKILISHI NA MKURUGENZI WA OFISI YA KAMISHNA MKUU WA HAKI ZA BINADAMU KANDA YA AFRIKA MASHARIKI NA UMOJA WA AFRIKA By Best Media - February 10, 2023 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegram Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika, Marcel Akpovo, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar (Picha na Ikulu) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika, Marcel Akpovo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar(Picha na Ikulu)