Home KITAIFA WAKUU WA NCHI EAC WAKUTANA NGURDOTO KUJADILI TABIANCHI NA USALAMA WA CHAKULA

WAKUU WA NCHI EAC WAKUTANA NGURDOTO KUJADILI TABIANCHI NA USALAMA WA CHAKULA

Google search engine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 23 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye pamoja na Rais wa Kenya, William Ruto wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 23 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 23 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Kenya, William Ruto mara baada ya kuwasili Ngurdoto Mkoani Arusha kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 23
Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud pamoja na viongozi wengine wakishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 23 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Rais wa Kenya, William Ruto kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 23 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 23 Novemba, 2023
Rais wa Kenya, William Ruto akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 23 Novemba, 2023
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here