Home KITAIFA WAKUU EAC WAINGIA SIKU YA PILI MKUTANO WA NDANI KUJADILI TABIA NCHI

WAKUU EAC WAINGIA SIKU YA PILI MKUTANO WA NDANI KUJADILI TABIA NCHI

Google search engine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akishiriki Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit akishiriki Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023
Rais wa Kenya, Dk. William Ruto akishiriki Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit kabla ya kuanza kwa Mkutano wa ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud kabla ya kuanza kwa Mkutano wa ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakati wa Mkutano wa Ndani wa Jumuiya hiyo unaofanyika Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here