Home KITAIFA WAOMBOLEZAJI WAMIMINIKA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN KUTOA POLE NA KUSAINI KITABU... KITAIFA WAOMBOLEZAJI WAMIMINIKA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN KUTOA POLE NA KUSAINI KITABU CHA RAMBIRAMBI MSIBA WA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI By Best Media - March 4, 2024 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegram Sheikh Ahmed Ali Sharif Al Amri akisaini kitabu cha maombolezi katika Ubalozi wa Tanzania mjini Muscat, Oman His Royal Highness Mohamed Bin Salim Al Said, Mkuu wa Itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Oman mstaafu, akisaini kitabu cha maombolezi kufuatia msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi katika ubalozi wa Tanzania mjini Muscat, Oman His Royal Highness Mohamed Bin Salim Al Said, Mkuu wa Itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Oman mstaafu, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Oman Mhe. Fatma Mohamed Rajab baada ya kusaini kitabu cha maombolezi Sheikh Ahmed Ali Sharif Al Amri na Balozi wa Tanzania nchini Oman Mhe. Fatma Mohamed Rajab baada ya kusaini kitabu cha maombolezi