Home KITAIFA DK. BITEKO AONGOZA KIKAO KAZI KUJADILI UENDESHAJI WA BANDARI NCHINI

DK. BITEKO AONGOZA KIKAO KAZI KUJADILI UENDESHAJI WA BANDARI NCHINI

Google search engine
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akiongoza kikao kazi ngazi ya mawaziri kuhusu uendelezaji wa Bandari nchini .
Kikao kazi hicho kimefanyika leo Machi 7, 2024 katika ofisi ndogo ya Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na mawaziri wa kisekta,  Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakurugenzi wa taasisi kutoka sekta husika
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here