Home KITAIFA HABARI PICHA: DC SHAKA HAMDU SHAKA ATETA NA MAKATIBU TARAFA, WATENDAJI KATA...

HABARI PICHA: DC SHAKA HAMDU SHAKA ATETA NA MAKATIBU TARAFA, WATENDAJI KATA KILOSA

Google search engine
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka Jumatano Februari 15, 2023 amekutana, kujitambulisha na kuzungumza na Makatibu Tarafa na watendaji kata katika Wilaya Kilosa, akimbatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo katika Ukumbi mikitano Madaraka. 
Mmoja wa maofisa watendaji wa kata akizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka ( hayupo pichani)
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka akiangana na watumishi wa Halmashauri ya Kilosa mara baada ya kukamiliza kwa kikao chake leo Februari 15, 2013
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here