Home KITAIFA DC SHAKA HAMDU SHAKA AELEZA MKAKATI WA KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI WILAYANI...

DC SHAKA HAMDU SHAKA AELEZA MKAKATI WA KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI WILAYANI KILOSA

Google search engine
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka  akizungumza katika kikao cha  Baraza la Madiwani cha  kujadili na kupitisha bajeti  kwa mwaka 2023/2024 ya  Halmashauri ya Kilosa Alhamis Februari 16, 2023 kilichofanyika katika Ukumbi wa Madaraka. 

“Tumejipanga na tunakuja na mkakati kabambe kumaliza Migogoro ya wakulima na wafugaji, nataka tuandike pamoja historia ya kumaliza kabisa changamoto ya migogoro hii Kilosa. Na mimi nikiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hii nitaanza na watendaji ndani ya serikali ambao ni sehemu ya ustawi au wanufaika wa migogoro hiyo, hivyo niwahahakishie kama kuna mtu yeyote miongoni mwetu, anafaidika na migogoro hii ama anahusika kwa namna moja ama nyingine kuistawisha atakutana na mkono mkali wa sheria kwenye hili hatutangaliana usoni,” DC Shaka Hamdu Shaka

Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here