Home KITAIFA RAIS SAMIA APOKEA HATI ZA MABALOZI WAPYA WA NCHI ZA LIBYA NA...

RAIS SAMIA APOKEA HATI ZA MABALOZI WAPYA WA NCHI ZA LIBYA NA BURUNDI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Google search engine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kwa ajili ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Libya hapa nchini, Abdulmajed Albahlul Alshatewi kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Machi 11, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Libya hapa nchini, Abdulmajed Albahlul Alshatewi mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kwa ajili ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Burundi hapa nchini Leontine Nzeyimana kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Burundi hapa nchini Mhe. Leontine Nzeyimana mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na
Balozi Mteule wa Burundi hapa nchini, Leontine Nzeyimana mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Machi, 2024.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here