Home KITAIFA BALOZI DK. EMMANUEL NCHIMBI NA WAZEE PEMBA KITAIFA BALOZI DK. EMMANUEL NCHIMBI NA WAZEE PEMBA By Best Media - March 23, 2024 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegram Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na baadhi ya wazee kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya za Pemba, mara baada ya futari aliyowaandalia mjini Chakechake, leo Jumamosi, Machi 23, 2024, ambapo kabla ya hapo alikutana nao kwa ajili ya mazungumzo na mashauriano yaliyohusu masuala katika maeneo yao na kitaifa.