Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 30, 2024 anamwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani 2024.
kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni “Wekeza kwenye Kinga na Tiba dhidi ya Dawa za Kulevya”.
Maadhimisho hayo yanafanyika katika Uwanja wa Nyamagana, jijini Mwanza