Home KITAIFA RAIS MWINYI AZUNGUMZA NA MWAKILISHI NA MKURUGENZI WA OFISI YA KAMISHNA MKUU...

RAIS MWINYI AZUNGUMZA NA MWAKILISHI NA MKURUGENZI WA OFISI YA KAMISHNA MKUU WA HAKI ZA BINADAMU KANDA YA AFRIKA MASHARIKI NA UMOJA WA AFRIKA

Google search engine
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika, Marcel Akpovo, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar (Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika, Marcel Akpovo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar(Picha na Ikulu)  
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here