Home KITAIFA Ummy: Magonjwa ya ngono yameongezeka

Ummy: Magonjwa ya ngono yameongezeka

Google search engine
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akiingia bungeni huku akionyeha mkoba wenye bajeti ya wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2023/24

Na Mwandishi Wetu

-DODOMA

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema magonjwa ya ngono yameongezeka nchini na kuitaka jamii hususani vijana kutumia kinga

Ummy, ameyasema hayo leo Mei 12,2023 bungeni mjini Dodoma akiwasilisha bajeti ya wizara yake.

“Kuna ongezeko kubwa la magonjwa ya ngono, idadi ya magonjwa ya ngono kwa mwaka jana ilikua  458,612, sasa hivi imepanda na kufikia 480, 448, ” amesema na kuongeza:

“Nitoe  wito kwa Watanzania hasa vijana kutumia kinga, ili kujikinga na magonjwa ya ngono, ” amesema.

Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here