Home KITAIFA MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO AMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA MWAKA WA...

MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO AMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA MWAKA WA BENKI YA AfDB NCHINI MISRI

Google search engine
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango akiweka Saini katika kitabu maalum maarufu kama Golden Book mara baada ya kuwasili Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Sharm El Sheikh nchini Misri kuhudhuria Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) leo tarehe Mei 2023. (wa pili kutoka kushoto ni Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dk. Akinwumi Adesina)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango akiwa na viongozi wakuu mbalimbali mara baada ya kuwasili Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Sharm El Sheikh nchini Misri kuhudhuria Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) leo tarehe Mei 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango akishiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Sharm El Sheikh nchini Misri leo tarehe 23 Mei 2023.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here