Home KITAIFA RAIS SAMIA, MUSEVENI WAZINDUA MRADI WA KUFUA UMEME WA KIKAGATI – MURONGO,...

RAIS SAMIA, MUSEVENI WAZINDUA MRADI WA KUFUA UMEME WA KIKAGATI – MURONGO, MBARARA NCHINI UGANDA

Google search engine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akivuta kamba pamoja na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa Kikagati – Murongo, Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023. Mradi huo wa umeme utanufaisha nchi zote mbili katika masuala ya Nishati ya umeme.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Uganda mara baada ya uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa Kikagati – Murongo, Mbarara nchini humo tarehe 25 Mei, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika Mradi wa Umeme wa Kikagati – Murongo, Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni wakati alipotembelea mradi wa kufua umeme wa Kikagati – Murongo (Megawatt 16), Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023.
Eneo la mradi wa kufua umeme wa Kikagati – Murongo pamoja na Mitambo kama linavyoonekana pichani, Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni wakati wakisikiliza maelezo ya mradi wa kufua umeme wa Kikagati – Murongo, Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here