Home KITAIFA WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZISHI YA MZEE LUKUMAY KITAIFA WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZISHI YA MZEE LUKUMAY By Best Media - June 20, 2023 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegram Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka shada la maua kwenye kaburi la Mzee Stephen Lukumay, mfanyabiashara wa siku nyingi jijini Dodoma na mmiliki wa hoteli ya NAM, katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Ngaramtoni jijini Arusha, Juni 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Elias Lukumay (kushoto) ambaye ni mototo wa marehemu Stephen Lukumay akishuhudia wakati jeneza lenye mwili wa baba yake lilipoteremshwa kaburini katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Ngaramtoni jijini Arusha, Juni 20, 2023. Mzee Lukumay ni mfanyabiashara wa siku nyingi jijini Dodoma na mmiliki wa hoteli ya NAM. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alishiriki katika mazishi hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika mazishi ya Mzee Stephen Lukumay, mafanyabiashara wa siku nyingi jijini Dodoma na mmiliki wa hoteli ya NAM yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Ngaramtoni jijini Arusha, Juni 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)