Home KITAIFA RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA WAZIRI MKUU WA INDIA NARENDRA... KITAIFA RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA WAZIRI MKUU WA INDIA NARENDRA MODI By Best Media - July 8, 2023 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegram Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Subrahmanyam Jaishankar Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 8 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa India, Subrahmanyam Jaishankar mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 8 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa India, Subrahmanyam Jaishankar aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 8 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Subrahmanyam Jaishankar mara baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 8 Julai, 2023.