Home KITAIFA RAIS SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Google search engine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Stephen Patrick Mbundi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (atayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Balozi Profesa Kennedy Godfrey Gastorn kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Septemba 14, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Balozi Said Shaib Mussa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Septemba 14, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Abdul-Hakim Ameir Issa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Septemba 14, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Lameck Michael Mlacha kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Septemba 14, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimuapisha Paul Joel Ngwembe kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Septemba 14, 2023. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Martha Boniface Mpaze kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Septemba 14, 2023. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Septemba 14, 2023.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here