Home KITAIFA MBARALI, KATA SITA UDIWANI KUAMUA LEO, AMANI YATAWALA VITUONI WAPIGA KURA WAJITOKEZA...

MBARALI, KATA SITA UDIWANI KUAMUA LEO, AMANI YATAWALA VITUONI WAPIGA KURA WAJITOKEZA KWA WINGI

Google search engine
Mpiga Kura mwenye mahitaji maalum akisaidiwa kuingia katika kituo cha kupigia kura ili aweze kutimiza haki yake ya kumchagua Kiongozi anayemtaka katika kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kata Na.2, katika Kata ya Mfaranyaki Halmashauri ya Manispaa ya Songea, leo tarehe 19/09/2023.
Habari Picha: Wapiga kura wakiendelea kujitokeza kwemye vituo vya kupiga kura katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Mbarali na Udiwani kata sita za Tanzania bara ambao unafanyika leo Jumanne, 19 September, 2023.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here