Home KITAIFA HABARI PICHA: RAIS SAMIA ALIVYOPOKEA HATI ZA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI LEO

HABARI PICHA: RAIS SAMIA ALIVYOPOKEA HATI ZA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI LEO

Google search engine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Norway hapa nchini, Tone Tines Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Qatar hapa nchini, Fahad Rashid Saqr Al-Muraikhi, mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini Yahya Ahmed Okeish, mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Rwanda hapa nchini Fatou Hererimana Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Umoja wa Ulaya hapa nchini Christine Grau Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini, Yahya Ahmed Okeish, mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Qatar hapa nchini, Fahad Rashid Saqr Al-Muraikhi, mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiagana na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania, Yahya Ahmed Okeish, mara baada ya kukabidhi hati yake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here