Home KITAIFA RAIS SAMIA ATUA JIJINI LUSAKA, ZAMBIA KWA ZIARA YA KITAIFA

RAIS SAMIA ATUA JIJINI LUSAKA, ZAMBIA KWA ZIARA YA KITAIFA

Google search engine

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu akizungumza jambo na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, Lusaka nchini Zambia kwa ajili ya ziara ya Kitaifa tarehe 23 Oktoba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu akikagua Gwaride la Heshima mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, Lusaka nchini Zambia kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa tarehe 23 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu akiwa amesimama pamoja na mwenyeji wake Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania na Zambia ukiimbwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, Lusaka nchini Zambia tarehe 23 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema wakati wakifurahia vikundi mbalimbali vya burudani mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, Lusaka nchini Zambia kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa tarehe 23 Oktoba, 2023.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here