Home KITAIFA MAAFA KATESH WAZIRI MKUU AWAJULIA HALI MAJERUHI WALIOLAZWA HOSPITALI

MAAFA KATESH WAZIRI MKUU AWAJULIA HALI MAJERUHI WALIOLAZWA HOSPITALI

Google search engine

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 05, 2023 amewajulia hali majeruhi wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha kuporomoka kwa tope na mawe kutoka mlima Hanang, Katesh Mkoani Manyara.

Majeruhi hao wanapatiwa matibabu bure na Serikali katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa manyara.

Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here