Home KITAIFA WAZIRI MKUU ATEMBELEA KAMBI YA MUDA WAATHIRIKA WA MAAFA KATESH

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KAMBI YA MUDA WAATHIRIKA WA MAAFA KATESH

Google search engine

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 05, 2023 ametembelea kambi ya muda walipo waathirika wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha kuharibika kwa nyumba na miundombinu mingine kutokana kuporomoka kwa tope na mawe kutoka mlima Hanang, Katesh Mkoani Manyara.

Waathirika hao walio katika kambi hiyo ya muda wanahudumiwa na Serikali na wameishukuru Serikali kwa jitihada zilizofanyika za kuhakikisha wanapata huduma hizo muda wote

Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here