Home KITAIFA SPIKA TULIA AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MKUU IRAQ KITAIFA SPIKA TULIA AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MKUU IRAQ By Best Media - March 4, 2024 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegram Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq, Fuad Hussein katika moja ya kumbi za Mikutano za Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Nest wakati Mkutano wa Jukwaa la Kidiplomasia la Antalya Machi 3, 2024, Jijini Antalya Uturuki.