Home KITAIFA RAIS DK.MWINYI APOKEA SALAMU ZA POLE KUTOKA KWA GAVANA TUTUBA

RAIS DK.MWINYI APOKEA SALAMU ZA POLE KUTOKA KWA GAVANA TUTUBA

Google search engine
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Ikulu Migombani kutoka kwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Mpawe Tutuba kufuatia kifo cha Baba Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia Februari 29, 2024, Dar es Salaam na kuzikwa Machi 2, 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini, Unguja.

Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here