Home KITAIFA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WAMPA POLE RAIS DK.MWINYI

WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WAMPA POLE RAIS DK.MWINYI

Google search engine

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Ikulu Migombani kutoka kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya Unguja na Pemba kufuatia kifo cha Baba Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia Februari 29, 2024, Dar es Salaam na kuzikwa Machi 2, 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini, Unguja

Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here