Home KITAIFA ADO SHAIBU ATHIBITISHWA KUWA KATIBU MKUU ACT WAZALENDO KWA KAULI MOJA KITAIFA ADO SHAIBU ATHIBITISHWA KUWA KATIBU MKUU ACT WAZALENDO KWA KAULI MOJA By Best Media - March 7, 2024 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegram Halmashauri Kuu ya ACT Wazalendo imethibitisha kwa kauli moja uteuzi wa Katibu Mkuu wa Chama Ado Shaibu na kupewa miaka mitano mingine ya kuongoza Sekretarieti ya Chama ya Taifa.