Home KITAIFA DK. BITEKO AONGOZA KIKAO KAZI KUJADILI UENDESHAJI WA BANDARI NCHINI KITAIFA DK. BITEKO AONGOZA KIKAO KAZI KUJADILI UENDESHAJI WA BANDARI NCHINI By Best Media - March 7, 2024 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegram Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akiongoza kikao kazi ngazi ya mawaziri kuhusu uendelezaji wa Bandari nchini .Kikao kazi hicho kimefanyika leo Machi 7, 2024 katika ofisi ndogo ya Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na mawaziri wa kisekta, Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakurugenzi wa taasisi kutoka sekta husika