Home KITAIFA RAIS SAMIA ANOGESHA THE CITIZEN RISING WOMAN ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA THE...

RAIS SAMIA ANOGESHA THE CITIZEN RISING WOMAN ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA THE SUPER DOME MASAKI

Google search engine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications Limited (MCL) Bakari Machumu wakati wa hafla ya The Citizen Rising Woman katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam leo Machi 8, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya The Citizen Rising Woman iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Jijini Dar es Salaam leo Machi 8, 2024.
2024.
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla The Citizen Rising Woman iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki kwenye Maadhimisho Siku ya Wanawake Duniani Jijini Dar es Salaam leo Machi 8, 2024.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here