Home KITAIFA BALOZI DK. NCHIMBI AONGOZA KIKAO CHA SEKRETERIETI YA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA KITAIFA BALOZI DK. NCHIMBI AONGOZA KIKAO CHA SEKRETERIETI YA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA By Best Media - March 15, 2024 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegram Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi akiendesha Kikao cha Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichoketi Alhamis, Machi 14, 2024, Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam.