Home KITAIFA RAIS DK.MWINYI APOKEA POLE KUTOKA KWA MWENZA WA RAIS SAMIA

RAIS DK.MWINYI APOKEA POLE KUTOKA KWA MWENZA WA RAIS SAMIA

Google search engine
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole Ikulu Zanzibar kutoka kwa Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hafidh Ameir kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi, Mwenyekiti wa CCM Taifa Mstaafu, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia Februari 29, 2024, Dar es Salaam na kuzikwa Machi 2 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini Unguja .
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here