Home KITAIFA RAIS SAMIA AFUTURISHA MAKUNDI MBALIMBALI IKULU TUNGUU, ZANZIBAR

RAIS SAMIA AFUTURISHA MAKUNDI MBALIMBALI IKULU TUNGUU, ZANZIBAR

Google search engine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Futari aliyowaandalia viongozi pamoja na wageni mbalimbali Ikulu Tunguu Zanzibar Machi 15, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kwenye Futari aliyowaandalia viongozi pamoja na wageni mbalimbali Ikulu Tunguu Zanzibar Machi 15, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi wakati wa Futari aliyowaandalia viongozi pamoja na wageni mbalimbali Ikulu Tunguu Zanzibar Machi 15, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi wakati wa Futari aliyowaandalia viongozi pamoja na wageni mbalimbali Ikulu Tunguu Zanzibar Machi 15, 2024. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi
Wageni mbalimbali wakiwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Tunguu Zanzibar Machi 15, 2024.
Baadhi ya Wenza wa Viongozi Pamoja na Viongozi mbalimbali waliohudhuria Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Tunguu Zanzibar tMachi 15, 2024.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here