Home KITAIFA BALOZI DK. EMMANUEL NCHIMBI NA WAZEE PEMBA

BALOZI DK. EMMANUEL NCHIMBI NA WAZEE PEMBA

Google search engine
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na baadhi ya wazee kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya za Pemba, mara baada ya futari aliyowaandalia mjini Chakechake, leo Jumamosi, Machi 23, 2024, ambapo kabla ya hapo alikutana nao kwa ajili ya mazungumzo na mashauriano yaliyohusu masuala katika maeneo yao na kitaifa.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here