Home KITAIFA DK. BITEKO MGENI RASMI UFUNGUZI WA MKUTANO WA KIMATAIFA WA AFYA YA...

DK. BITEKO MGENI RASMI UFUNGUZI WA MKUTANO WA KIMATAIFA WA AFYA YA MSINGI

Google search engine

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo tarehe 25 Machi, 2024 anashiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Afya ya Msingi nchini unaofanyika jijini Dodoma.

Kaulimbiu ya Mkutano huo ni Huduma ya Afya ya Msingi ni Nyenzo ya Kufikia Huduma ya Afya kwa Wote nchini (Primary Health Care as a Vehicle for the Journey to Achieve Universal health Coverage in Tanzania)

Viongozi mbalimbali wa Serikali na wadau wa Sekta ya Afya wamehudhuria mkutano husika.

Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here