Home KITAIFA RAIS SAMIA AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI RUKWA UWANJA WA NELSON MANDELA MJINI...

RAIS SAMIA AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI RUKWA UWANJA WA NELSON MANDELA MJINI SUMBAWANGA

Google search engine
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Rukwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Nelson Mandela, Mjini Sumbawanga leo Julai 17, 202
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga Mkoani Rukwa leo Julai 17, 2024.
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono Wananchi wa Sumbawanga mara baada ya kuhutubia na kuhitimisha Ziara yake ya Kikazi katika uwanja wa Nelson Mandela Mkoani Rukwa leo Julai 17, 2024.
Shamrashamra za Wananchi wa Sumbawanga Mkoani Rukwa mara baada ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika Uwanja wa Nelson Mandela kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi wa Mkoa huo leo Julai 17, 2024.
Google search engine

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here