MBARAWA AOMBA BAJETI YA TRILIONI 2.7/- UCHUKUZI
*KUENDELEZA UJENZI WA RELI KWA KIWANGO CHA KIMATAIFA (STANDARD GAUGE RAILWAY - SGR) KATIKA MAENEO YALIYOBAKI PAMOJA NA UNUNUZI WA VITENDEA KAZI (VICHA NA...
WAZIRI MKUU AWATAKA WAKUU WA MIKOA KUSIMAMIA UTASHI WA RAIS DK....
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa nchini waakisi utashi wa kisiasa wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia na...
WAZIRI DK. GWAJIMA AZINDUA NMB KIKUNDI AKAUNTI YENYE BIMA YA MAISHA
Na MWANDISHI WETU
-DAR ES SALAAM
BENKI ya NMB imeitambulisha akaunti mpya ya kidijitali kwa ajili ya vikundi mbalimbali vya kijamii iitwayo ‘NMB Kikundi Account,’ iliyozinduliwa...
SERIKALI KUWAKOPESHA WAJASIRIAMALI BILIONI 18.5/- KUPITIA BENKI YA NMB
NA MWANDISHI WETU
-DAR ES SALAAM
SERIKALI imetenga kiasi cha Shilingi bilioni 18.5 kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali nchini zitakazotolewa kama mikopo yenye masharti nafuu kupitia...
KIMBUNGA HIDAYA CHALETA MTIKISIKO NCHINI
*CHAFIKIA ENEO LA BAHARI TAKRIBAN KILOMITA 125 KUTOKA PWANI YA KILWA, MVUA YATIKISA KIASI CHA MILIMITA 111.3 KWA KIPINDI CHA SAA SITA MFULULIZO
*UPEPO MKALI...
BALOZI DK. NCHIMBI: KAZI KUBWA ZA SAMIA ZINAIPA CCM UJASIRI
Na MWANDISHI WETU
-DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema kazi kubwa inayofanywa na Rais wa Jamhuri...
ZAIDI YA MABWAWA 100 YA UMWAGILIAJI KUFANYIWA USANIFU
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
TUME ya Taifa ya Umwagiliaji imeishukuru Serikali kwa kuongeza bajeti kiasi cha Shilingi bilioni 403.8 kwa aajili utekelezaji wa miradi ya umwagiliaji...
KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI
*MKURUGENZI MKUU MNDOLWA AONGEZWA, APEWA HEKO KWA UCHAPAZI
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Kilimo, imeipongeza Tume...
KIMBUNGA HIDAYA CHAZIDI KUSOGEA ENEO PWANI
Na MWANDISHI WETU
-DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa Kimbunga Hidaya kilichopo katika Bahari ya Hindi...
RAIS SAMIA AWATAKIA HERI MEI MOSI KUANZIA DADA WA KAZI HADI...
Na MWANDISHI WETU
Kupitia ukurasa wake wa mtandao kijamii wa Instagram, Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, aliwatakia heri Wafanyakazi kuadhimisha siku hiyo muhimu kwa Wafanyakazi.
“Kheri...