NMB yaanzisha huduma ya mikopo nafuu ya elimu
Na Mwandishi Wetu
Benki ya NMB imesema imetenga kiasi cha TZS bilioni 200 kwa ajili ya kuwakopesha wafanyakazi wanaotaka kupata elimu ya juu au wale...
Waziri Mkuu Majaliwa aipa kongole Benki ya NMB
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza Benki ya NMB kwa juhudi zao katika shughuli mbali mbali za maendeleo hapa...
Naibu Katibu Mkuu Nishati aongoza kikundi kazi cha Taifa cha Nishati...
Na Zuena Msuya, Dodoma
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka ameongoza kikao cha wataalam wa Kikundi Kazi cha Taifa cha Nishati Safi ya...
Benki ya NMB yatenga mikopo ya shilingi bilioni 20 kuchangia ukuaji...
Na Mwandishi Wetu,
BENKI ya NMB imetenga mikopo ya shilingi bilioni 20 itakayotumika kuchangia maendeleo ya sekta ya kilimo nchini ikiwa ni dhamira ya benki...
Rais Samia aonya mawaziri kuajiri maofisa habari binafsi ndani ya Serikali
Na MWANDISHI WETU
-ARUSHA
KATIKA kile kikachoonekana kuisuka upya Serikali yake ya Awamu ya Sita, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa mwelekeo wa namna anavyotaka Serikali yake...
Samia awataka viongozi kujitathmini
RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Serikali kujitathmini kwa nafasi zao kama wana maadili ya uongozi.
Rais Samia amezungumza hayo alipofanya mkutano wa faragha...
UINGEREZA, EU ZAFIKIA MKATABA WA BAADA YA BREXIT
UINGEREZA na Umoja wa Ulaya zimefikia makubaliano juu ya kanuni za biashara za baada ya Brexit zitakazotumika huko Ireland Kaskazini.
Iwapo mkataba huo utaridhiwa na...
WAANGALIZI WA UMOJA WA ULAYA WAKOSOA UCHAGUZI WA NIGERIA
Ujumbe wa waangalizi wa Umoja wa Ulaya umekosoa ukosefu wa uwazi na kushindwa kwa utendaji katika uchaguzi wa Nigeria, kulingana na matokeo yake ya...
ELON MUSK AREJEA KWENYE NAFASI YA MTU TAJIRI ZAIDI DUNIANI
Elon Musk amerejea katika nafasi ya kuwa mtu tajiri zaidi duniani, baada ya kupoteza kwa muda mfupi taji kwa Bernard Arnault wa Ufaransa.
Utajiri wa...