KIONGOZI WA CHAMA TAWALA AONGOZA KATIKA KURA
MGOMBEA wa chama tawala nchini Nigeria Bola Tinubu anaongoza katika uchaguzi wa urais baada ya matokeo kutolewa katika majimbo 14 kati ya 36...
VYAMA VYA UPINZANI WA NIGERIA VYATAKA UCHAGUZI URUDIWE
Vyama vitatu vya upinzani vimetaka uchaguzi wa Nigeria ufutiliwe mbali na kurudiwa, kwa madai ya kuwepo kasoro nyingi.
Chama cha Peoples Democratic Party (PDP), Labour...
URUSI YAKARIBIA KUUTEKA MJI WA BAKHMUT KATIKA MAPAMBANO MAKALI NA UKRAINE
Vikosi vya Urusi siku ya Jumanne vimeendelea na safari yao ya wiki moja ya kuuzingira na kuuteka mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine ambapo...
AFDB YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UMEME NCHINI
Na Zuena Msuya, Dodoma
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayewakilisha nchi ya Tanzania, Ronald Cafrine amesema ameridhishwa na utekelezaji...
WASHINDI NMB MASTABATA ‘KOTE KOTE’ WAPAA DUBAI
NA MWANDISHI WETU
WASHINDI 7 wa kampeni ya kuhamasisha matumizi ya kadi iliyoondeshwa na Benki ya NMB 'NMB MastaBata - Kote Kote' wameagwa na kukabidhiwa...
NMB YAPATA UFADHILI WA SHILINGI BILIONI 572 KUTOKA ULAYA
Na Mwandishi Wetu
BENKI ya NMB imepata mikopo miwili ya muda mrefu na dhamana ya kukopesha kutoka taasisi tatu za fedha za Jumuiya ya...
PESAPAL YAHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA SEKTA YA UTALI
Na MWANDISHI WETU
KAMPUNI kinara wa huduma za malipo ya Pesapal imewataka wadau wa shughuli za utalii na ukarimu nchini kuzichangamkia na kuzitumia teknolojia za...
NMB YAZINDUA UMEBIMA DAR, DC UBUNGO ATOA NENO
NA MWANDISHI WETU
BENKI ya NMB imezindua Kampeni ya siku 21 katika Kanda ya Dar es Salaam ya kutoa elimu na kuhamasisha jamii kutumia Huduma...
WAZIRI CHANA AAGIZA BASATA KUANDAA MWONGOZO WA PROGRAMU YA SANAA MTAA...
Na Shamimu Nyaki
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dk. Pindi Chana ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuandaa mwongozo wa kutekeleza Programu...
NAIBU WAZIRI WA TAMISEMI ASTUKIA UPOTEVU WA DAWA HOSPITALI YA WILAYA...
Na John Walter-Babati
SERIKALI imeagiza kufanyika uchunguzi wa mfumo wa uagizaji, Utunzaji na Utoaji wa dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara baada...