MWANA MFALME WA SAUD ARABIA AAHIDI KUSAIDIA TANZANIA KATIKA SANAA
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Mwana wa Mfalme wa Saudi Arabia, Walid bin...
UKATILI ZAO LA UMASKINI- DK. CHAULASERIKALI
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imesema kuwa, kushamiri kwa vitendo vya ukatili nchini ni matokeo ya wananchi kutokuwa na mawazo chanya kuhusu shughuli za Maendeleo.
Katibu Mkuu...
LATRA YAFAFANUA AJALI ZILIZOTOKEA MIKOA YA TANGA NA DODOMA
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Udhibiti Usafiri wa Barabara wa Mamlaka hiyo, Johansen Kahatano amesema LATRA ilifuatilia Mfumo wa ufuatiliaji mwenendo wa...
DIMWA ASISITIZA MSHIKAMANO BAINA YA VIONGOZI NA WANACHAMA CCM
NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR.
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dk. Mohammed Said Mohammed 'Dimwa',amesema umoja na ushirikiano baina ya wanachama,viongozi na watendaji...
WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUKWEPA KODI
NA MWANDISHI WETU
-DAR ES SALAAM
WATU wawili, Sibtain Murji 43 na Zameen Murji 47 wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikalibiwa na mashtaka matatu...
BARAZA LA WAFANYAKAZI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA LAZINDULIWA
Na Faustine Kapama-Mahakama
JAJI Mkuu wa Tanzania,Prof. Ibrahim Hamis Juma, amezindua Baraza la Wafanyakazi wa Tume ya Utumishi wa Mahakama na kusisitiza mambo sita...
DK. JINGU: WAKULIMA TUONGEZE MSUKUMO WA KUFANYA KILIMO CHENYE TIJA
Na MWANDISHI WETU
-DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dk. John Jingu ametoa rai kwa wakulima...
BENKI YA NMB YAPELEKA ELIMU YA BIMA MKOA KWA MKOA
Na MWANDISHI WETU
-BEST MEDIA, MOROGORO
WANANCHI wametakiwa kujiunga na Bima mbalimbali ili kukabiliana na majanga ikiwemo ya moto ikiwa ni kuunga mkono juhudi zinazofanywa na...