WATANZANIA 170 WATAKAOHUSIKA KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA WAPATA MAFUNZO
WATANZANIA 170 watakaohusika katika ujenzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Hoima - Uganda hadi Chongoleani Tanga (EACOP), wamepatiwa mafunzo maalum...
DC SHAKA HAMDU SHAKA AELEZA MKAKATI WA KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI...
"Tumejipanga na tunakuja na mkakati kabambe kumaliza Migogoro ya wakulima na wafugaji, nataka tuandike pamoja historia ya kumaliza kabisa changamoto ya migogoro hii Kilosa....
VITABU VYA MAARIFA YA ASILI KATIKA UTUNZAJI MAZINGIRA VYAVUTIA MAMIA WANANCHI...
Na MMWANDISHI WETU
-LONGIDO
SHIRIKA la wanahabari la kusaidia jamii za Pembezoni (MAIPAC) limeanza kusambaza vitabu vya maarifa ya asili katika utunzaji wa Mazingira, misitu na...
SERIKALI YAWATAKA WATAALAMU, WADAU WA MAZINGIRA KUIBUA MIRADI YA TABIANCHI
Washiriki mbalimbali wakiwa katika Warsha ya siku mbili ya Wadau na Wataalamu wa Mazingira iliyolenga kuainisha vipaumbele vya miradi ya mazingira na mabadiliko ya...
VIFAA VYA BOSCH VYAPATIKANA KAMATA K/KOO, WAZINDUA KITUO CHA HUDUMA NA...
KAMPUNI ya NST-Bosch wazindua kituo cha Maonesho, mauzo na huduma kwa wateja katika eneo la Kamata Kariakoo jijini Dar es Salaam leo Februari 14,...
MAJALIWA AAGIZA HALMASHAURI NCHINI UTEKELEZAJI MIRADI KWA FEDHA ZA NDANI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha miaka miwili ya Serikali ya awamu ya sita imetekeleza miradi mingi ya huduma za jamii kila...
TANZANIA MIPANGO UJENZI WA ‘SPORTS ARENA’ DAR
Na MWANDISHI WETU
-BEST MEDIA, DAR
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa amesema Watanzania wana kiu ya kuona ukumbi wa Kimataifa wa Michezo (...
TANZANIA, COMORO KUANZIASHA TUME YA KUDUMU
Na MWANDISHI WETU
-BEST MEDIA
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Comoro zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) wa kuanzisha Tume ya Kudumu...