SIMBA SC YAFURAHIA KAULI YA RAIS SAMIA
Na MWANDISHI WETU
-BEST MEDIA, DAR
MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa wanachukulia kauli ya Rais wa Jamhuri ya...
BENKI YA NMB YAZIPA VIFAA VYA MILIONI 13/- TIMU JWTZ ZINAZOSHIRIKI...
NA MWANDISHI WETU
KATIKA mashindano ya Baraza la Majeshi la Tanzania (BAMATA) yalioanza kutimua vumbi Alhamisi Februari 9 mjini Mtwara, Benki ya NMB imekabidhi msaada...
BODI YA DAWASA YAPONGEZA MAENDELEO YA MRADI WA UZALISHAJI UMEME JNHPP
Na MWANDISHI WETU
-RUFIJI
BODI ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA), imepongeza maendeleo ya utekelezaji ujenzi mradi wa...
DK.NDUMBARO AELEZA MAFANIKIO UTEKELEZAJI WA ILANI JIMBO LA SONGEA MJINI
NA STEPHANO MANGO
-SONGEA
VIONGOZI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoani Ruvuma wametakiwa kuyasema mazuri yote yanayofanywa na Rais, Wabunge na Madiwani ili wananchi waelewe kwa...
ASKARI WA UHIFADHI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA
Na MWANDISHI WETU
-KAHAMA
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja, amewataka Askari wa Uhifadhi katika maeneo mbalimbali nchini wazingatie sheria kanuni,taratibu na miongozo pindi...
TANZANIA, INDONESIA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA UMEME, MAFUTA NA GESI
Na MWANDISHI MAALUM
-INDONESIA
WAZIRI wa Nishati January Makamba amefanya ziara ya kikazi nchini Indonesia, lengo likiwa ni kuimarisha ushirikiano wa nchi hizo mbili katika sekta...
DKT. BITEKO AWATUNUKU VYETI WAHITIMU 39 STASHAHADA YA TEKNOLOJIA YA MADINI...
Na MWANDISHI WETU
-BEST MEDIA, ARUSHA
WAZIRI wa Madini, Dk. Doto Biteko amewatunuku vyeti jumla ya wahitimu 39 wakiwemo wanaume 25 na wanawake 14 wa...
WANANCHI WATAKIWA KUTOA TAARIFA MAPEMA ZA VIASHIRIA VYA UHALIFU BADALA YA...
Na Faki Mjaka, Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar
Jukumu la kuzuia vitendo vya kihalifu na maovu katika jamii linapaswa kufanywa na kila mtu katika eneo...
MWENYEKITI MPYA BODI YA REA AANZA KAZI RASMI NA KUSISITIZA UCHAPAKAZI,...
Na Veronica Simba - REA
MMWENYEKITI mpya wa Bodi ya Nishati Vijijini, Janeth Mbene ameanza kazi rasmi kwa kukutana na kuzungumza na Menejimenti ya Wakala...