DRC: WANAJESHI SABA WAHUKUMIWA KIFO KWA ‘UOGA’
WANAJESHI saba wa Congo wamehukumiwa kifo kwa kuonyesha 'uoga mbele ya adui' na kusababisha hofu kuu walipokimbia waasi wa M23.Siku ya Alhamisi, wanajeshi hao...
NDEGE YA KIVITA YA YATUNGUA KITU KISICHOJULIKANA ANGANI
Rais wa Marekani Joe Biden aliamuru ndege ya kivita itungue "kitu cha angani" kisichojulikana kutoka Alaska siku ya Ijumaa, Ikulu ya White House inasema.
Msemaji...
RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AONGOZA KAMATI YA UANGALIZI YA SADC NCHINI...
Na MMWANDISHI MAALUMU
RAIS Mstaafu wa Awamu wa Nne wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza...
MWALUKO ATAKA MRADI WA SHULE BORA KUTOA MAFUNZO KWA WALIMU SINGIDA
Na Seif Takaza, Manyoni
KATIBU Tawala Mkoa wa Singida, Dorothy Mwaluko ameuagiza Mradi wa Shule Bora kutengeneza mfumo wa kutoa mafunzo kwa walimu wa mkoani...
WAHANDISI GGML WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO DARAJA LA KIGONGO–BUSISI
Na MWANDISHI WETU
-BEST MEDIA, MWANZA
KUNDI la wahandisi 40 kutoka kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wametembelea daraja la Kigongo-Busisi linalounganisha mikoa ya Mwanza...
DC MTATIRO ATANGAZA KUWAFUKUZA WAFUGAJI WASIOTAKA KWENDA KWENYE VITALU
Na Muhidin Amri,Tunduru
SERIKALI ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma, imesema itawakamata na kuwatoza faini kubwa wafugaji wote wanaoishi kiholela na kuchunga mifugo nje ya maeneo...
BARRICK NORTH MARA YAWA MWENYEJI KIKAO CHA TAIFA CHA SHIMMUTA
Mgodi wa Barrick wa North Mara, umekuwa mwenyeji wa kikao cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Michezo ya Mashirika ya Umma, Kampuni na...
ZABUNI UUZAJI MRADI WA DEGE BADO IPO KATIKA MCHAKATO HAUJAKAMILIKA-MSOMBA
Na MWANDISHI WETU
-BEST MEDIA, DODOMA
ZABUNI iliyotangazwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa ajili ya kuuza mradi wa Dege Eco Village...
WAZIRI DK. TAX APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI...
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax, amepokea nakala za Hati za Utambulisho za mabalozi wateule wa nchi...