MRADI WA BOMBA LA MAFUTA UNAENDELEA KUTEKELEZWA-BYABATO
NAIBU Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amesema kuwa, utekelezaji wa mradi Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania (EACOP) unaendelea kutekelezwa na...
UGONJWA USIOJULIKANA WAUA WATU EQUATORIAL GUINEA
MARUFUKU ya kutotoka nje ya siku mbili yamewekwa katika jimbo la kaskazini mwa Guinea ya Ikweta, linaloitwa Kié-Ntem, baada ya watu 20 kufariki kutokana...
IDADI YA VIFO NCHINI UTURUKI NA SYRIA YAKARIBIA 23,000
IDADI ya vifo nchini Uturuki kufuatia tetemeko la ardhi la Jumatatu imeongezeka hadi 19,388, kwa mujibu wa Rais wa nchi hiyo, Recep Tayyip Erdogan.
Idadi...
SOMALIA YAFUNGUA TENA UBALOZI UINGEREZA BAADA YA MIAKA 32
SOMALIA imefungua tena ubalozi wake nchini Uingereza baada ya miaka 32, katika hafla iliyohudhuriwa na balozi Abdulkadir Ahmed Kheyr, bingwa wa Olimpiki Mo Farah...
MTOTO MCHANGA NA MAMA WAOKOLEWA BAADA YA SIKU NNE CHINI YA...
MTOTO mchanga na mama yake wameokolewa kutoka kwenye vifusi nchini Uturuki, karibu saa 90 baada ya tetemeko la ardhi la kwanza la Jumatatu.
Mtoto huyo...
WAZIRI DK. TAX ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZI WA UTURUKI
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax, amesaini kitabu cha maombolezo Ubalozi wa Uturuki Jijini Dar...
PROFESA KITILA, HALIMA MDEE, MWAKIPOSA KUONGOZA KAMATI ZA BUNGE
Na MWANDISHI WETU
-BEST MEDIA, DODOMA
BAADA ya Kamati za Kudumu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kumaliza uhai wake wa kipindi cha miaka...
TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA MSIMU WA 20 KUANZA RASMI LEO...
Na Andrew Chale
-BEST MEDIA, ZANZIBAR
MJI wa Unguja na viunga vyake unatarajiwa kupamba moto kwa muziki ‘mnene’ kutoka kwa wasanii nguli wa Kitaifa na Kimataifa...
BOT YASHINDA TUZO YA UZINGATIAJI SHERIA, KANUNI ZA SERIKALI MTANDAO
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imeibuka mshindi wa kwanza katika kipengele cha ‘Uzingatiaji wa Sheria, Miongozo na Kanuni za Serikali Mtandao’.
Tuzo hiyo kwa...