Wednesday, October 30, 2024
Home Blog Page 107

NMB YAKABIDHI MSAADA WA SH MILIONI 24 HOSPITALI YA WILAYA YA...

0
MWANDISHI WETU -BEST MEDIA, ARUSHA  BENKI ya NMB imetoa misaada vifaa mbali mbali katika Hospitali ya Wilaya ya Karatu mkoani Arusha ikiwemo vitanda, magodoro, mashuka na...

BALOZI WA DENMARK AIPONGEZA BENKI YA CRDB KWA MATOKEO MAZURI YA...

0
UONGOZI wa Benki ya CRDB kupitia Mkurugenzi Mtendaji wake, Abdulmajid Nsekela umekutana na Balozi wa Denmark nchini, Mette Nørgaard Dissing-Spandet kujadili uhusiano baina...

TANZANIA, EU KUSHIRIKIANA KWENYE UTEKELEZAJI MIRADI, KUIMARISHA UHUSIANO WA KIBIASHARA

0
WAZIRI wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji, amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Umoja wa Ulaya (EU) katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya...

MBOLEA YA RUZUKU YAPUNGUZA GHARAMA ZA UZALISHAJI ZAO LA KAHAWA NCHINI

0
Na MWANDISHI WETU -BEST MEDIA IMEELEZWA kuwa mpango wa mbolea ya ruzuku umeleta nafuu kubwa kwenye shughuli  za uzalishaji wa  kahawa kwa kampuni ya kilimo cha...

PUTIN ‘ALITUMIA’ KOMBORA LILOANGUSHA NDEGE-WASEMA WACHUNGUZI WA KIMATAIFA

0
KUNA dalili kubwa kwamba Rais wa Urusi Vladimir Putin aliamua kutuma kombora lililoangusha ndege ya MH17 mnamo 2014, wachunguzi wa kimataifa wanasema. Ndege hiyo ilipigwa...

KAMPENI YA NMB UMEBIMA YATUA TENA ZANZIBAR KWA KISHINDO KILA KONA,...

0
Na MWANDISHI WETU -ZANZIABAR MCHAKATO wa elimu ya bima na uhamasishaji wa matumizi yake umezidi kunoga baada ya jana Benki ya NMB kuzindua tena kampeni...

TETEMEKO LA ARDHI UTURUKI: RAIS ERDOGAN ATANGAZA HALI YA DHARURA MIEZI...

0
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametangaza hali ya hatari ya miezi mitatu katika mikoa 10 iliyoathiriwa zaidi na tetemeko la ardhi ambalo limesababisha...

POLISI UINGEREZA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA KWA MAKOSA YA UBAKAJI

0
-BBC JAJI wa Uingereza amemhukumu afisa wa zamani wa polisi kifungo cha maisha jela, kwa muda usiopungua miaka 30, kwa makosa kadhaa ya ubakaji na...

MBUNGE NGASSA AFURAHIA MABILIONI YA MAENDELEO KATIKA JIMBO LA IGUNGA

0
Na VICTOR MAKINDA -TABORA  Kasi ya Serikali ya awamu ya sita ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo, chini ya uongozi  wa Rais Samia Suluhu Hasssan,...

TANZANIA, MAREKANI KUSHIRIKIANA KIBIASHARA KUPITIA SEKTA BINAFSI

0
Na Peter Haule, WFM, Dodoma SERIKALI imesema imefungua milango ya ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Tanzania na Marekani kupitia Sekta Binafsi ili kuchochea...