Wednesday, October 30, 2024
Home Blog Page 109

MANCHESTER CITY WASHTAKIWA KWA KUVUNJA SHERIA ZA KIFEDHA NA LIGI...

0
Ligi ya Premia imeishtaki Manchester City kwa ukiukaji zaidi ya 100 wa sheria zake za kifedha kufuatia uchunguzi wa miaka minne. Imeipeleka klabu hiyo kwa...

VIFO VYAONGEZEKA VYAFIKIA 1,900 TETEMEKO LA ARDHI LAATHIRI NCHI...

0
Takriban watu 1,900 wanaaminika kufariki baada ya matetemeko mawili ya ardhi kupiga Uturuki na Syria. Idadi ya waliothibitishwa kufariki kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea...

MWANASOKA WA GHANA AHOFIWA KUPOTEA BAADA YA TETEMEKO YA ARDHI ...

0
WAFANYAKAZI wa uokoaji wanamtafuta mchezaji mpita wa miguu wa Ghana Christian Atsu, ambaye huenda amenasa chini ya vifusi baada ya tetemeko la ardhi kuikumba...

TDC YAWATAKA VIONGOZI VYAMA VYA SIASA KUSHIRIKIANA, KUSHINDANA KWA HOJA

0
Na MWANDISHI WETU -BEST MEDIA, DAR ES SALAAM VIONGOZI wa Vyama vya siasa nchini wameaswa kushirikiana ili waweze kujenga mazingira mazuri ya kufanya siasa zenye tija...

TSC YASHAURIWA KUTOA ELIMU KWA WALIMU ILI WASIFUKUZWE KAZI

0
TUME ya Utumishi wa Walimu (TSC) imeshauriwa kuongeza juhudi katika kuelimisha walimu juu ya haki na wajibu katika utumishi wao ili kuhakikisha hawakatishi ajira...

RITA YAELIMISHA WANANCHI KUHUSU UMUHIMU WA KUASILI MTOTO KISHERIA

2
NA NWANDISHI WETU -BEST MEDIA, DODOMA JUMLA ya vyeti 975 vimesajiliwa na WAKALA wa Usajili  Ufilisi na Udhamini (RITA )kutokana na watu mbalimbali kuleta maombi yao...

BENKI YA CRDB YAKABIDHI KITUO CHA MAWASILIANO TAASISI YA SARATANI OCEAN...

0
Na MWANDISHI WETU -BEST MEDIA, DAR ES SALAAM Benki ya CRDB imekabidhi kituo cha mawasiliano katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ikiwa ni matokeo ya...