KATIBU MKUU CCM ANG’AKA, ASIKITISHWA KUCHELEWESHWA HUDUMA ZA UPASUAJI MIKESE
Na MWANDISHI WETU
-BEST MEDIA, MOROGORO
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesikitishwa na ucheleweshwaji kwa kuanza kwa huduma ya Upasuaji katika Kituo...
KAMPUNI YA BIA SBL YAJA NA ‘KAPU LA WANA’ KUZAWADIA WASHINDI...
Na MWANDISHI WETU
-BEST MEDIA
KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya PILSNER imetenga Sh milioni 36 kwa ajili ya kuwazawadia Watanzania...
TUNA WAJIBU KUTAFAKARI KAMA TAIFA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI KWA...
Na MWANDISHI WETU
-BEST MEDIA
TABIANCHI ni hali ya mabadiliko ya mazingira upande wa hali ya hewa yaani halijoto, pepo zinazovuma na mvua ambayo yanayojirudia rudia...
BENKI YA DCB YAINGIA KWENYE MIZANIA YA KATI YAPATA FAIDA MWAKA...
Januari 31, 2023. Benki ya Biashara ya DCB imepata faida kwa kiwango kikubwa kwa mwaka wa fedha wa 2022 ukilinganisha na faida iliyopatikana kwa...
NMB YAFADHILI MAFUNZO YA BODABODA, MACHINGA WA DAR NCHINI RWANDA
NA MWANDISHI WETU
BENKI ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Wafanyabiashara Wadogo (Machinga) na Waendesha...
CHANZO AJALI ILIVYOUA WATU 17 MKOANI TANGA
Na MWANDISHI WETU
-BEST MEDIA, TANGA
WATU 17 wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali ya magari mawili likiwemo gari iliyokuwa ikisafirisha msiba kugongana uso...
KAMATI YA KUISHAURI SERIKALI NGUZO ZA MITI, YABAINI UPUNGUFU VIWANDA MARA...
Na Zuena Msuya, Kigoma
KAMATI ya kuishauri Serikali namna ya upatikanaji wa Nguzo bora za Umeme za Miti wamefanya ziara ya kukagua ubora wa nguzo...
SHEIKH ALHAD ALISHAPOTEZA SIFA KABLA YA KUVUNJA NDOA YA DK JUMA...
Na MWANDISHI WETU
-DAR ES SALAAM
MOJA Habari kubwa ndani ya jamii ya Watanzania kwa sasa ni kuhusu uamuzi wa Baraza la Ulamaa chini ya Baraza...