Saturday, December 21, 2024
Home Blog Page 111

NMB yakabidhi vifaa tiba kwa hospitali Mtwara

0
Na MWANDISHI WETU -MTWARA BENKI ya NMB Kanda ya Kusini imetoa msaada wa vifaa tiba kwa hospitali ya Rufaa ya Mtakatifu Benedict ya Ndanda iliyopo Wilayani...

TSC YATAKIWA KUONGEZA JUHUDI KUSIMAMIA MAADILI NA MSAWAZO WA WALIMU NCHINI

0
Na Mwandishi wetu – Morogoro. Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) imetakiwa kuhakikisha inasimamia kwa karibu maadili na nidhamu ya walimu pamoja na kuhakikisha uwepo...

NMB yaandika historia mpya ya faida, Sh bilioni 6.2 kusaidia miradi...

0
Na Mwandishi Wetu, Best Media Benki ya NMB imeendelea kuboresha rekodi yake ya kutengeneza faida baada ya mwaka jana kuongeza kwa kiasi kikubwa pato hilo...

Mganga Mfawidhi Hospitali ya Wilaya Lindi aishukuru Serikali kwa umeme wa...

0
Na Veronica Simba – Lindi Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Lindi, Dk. Kassanga Benito, ameishukuru Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa...

REA yaeleza hatua iliyofikiwa katika utekelezaji miradi ya umeme vijijini

0
Na Veronica Simba – REA Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeeleza hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini inayoendelea nchi nzima. Taarifa ya utekelezaji...

Sh milioni 105 zanyakuliwa droo za kila wiki NMB Mastabata

0
Na Mwandishi Wetu, Best Media Droo za kila wiki za kampeni ya NMB MastaBata-Kote Kote zimetamatika jana (Ijumaa) baada ya zoezi la kuwapata washindi 76...

ENG RASHID KHAMSINI “MZEE WA POINT3” UJUMBE BODI YA UKURUGENZI SIMBA...

0
Na Andrew Chale, Best Media Injinia Rashid Khamsini anayegombea nafasi ya ujumbe wa bodi ya Ukurugenzi katika Uchaguzi Mkuu wa Simba, amewaomba wanachama kumchagua ilikuwatimizia...

Serikali yamaliza mgogoro wa Ardhi Bonde la Usangu

0
*Yaridhia kutoa eneo la hekta 74,000 kwa ajili ya shughuli za kilimo na ufugaji Na Mwandishi Wetu, Best Media SERIKALI ya awamu ya sita inayoongozwa na...

Idadi ya watu China imepungua kwa mara ya kwanza tangu mwaka...

0
Beijing, CHINA Idadi ya watu nchini China imepungua kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 60, huku kiwango cha uzazi nchini humo kikifikia rekodi...