GGML yaongeza udhamini kwa Geita Gold FC msimu wa 2022/2023
Na Mwandishi Wetu, Best Media
KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeongeza mkataba wa udhamini kwa Klabu ya Geita Gold Football Club (GGFC) wenye...
Taasisi zinazoendelea na ujenzi wa Ofisi Dodoma zatakiwa kukamilisha majengo yao...
Na Mwandishi Wetu, Best Media
Serikali imeziagiza Taasisi zote zinazoendelea na ujenzi wa majengo ya Ofisi zao jijini Dodoma kuhakikisha ujenzi huo unakamilika kwa kuzingatia taratibu...
Putin anatumia chakula kama silaha- Yara
Moscow, Urusi
"Vladimir Putin anatumia "chakula kama silaha", na madhara yake yanaonekana duniani kote, bosi wa kampuni kubwa ya mbolea duniani ameonya.
Svein Tore Holsether, kutoka...
Majaliwa awekajiwe la msingi Sekondari ya Dk. Samia
Na MwandishiWetu,Best Media
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 6, 2023 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Dkt....
Majaliwa akagua maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya Namtumbo
Na Mwandishi Wetu, Best Media
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Januari 06, 2023 ametembelea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa hospitali...
Mnada wa madini ya vito mbioni kuanza
*Kampuni ya Tanzanite Experience kinara Utangazaji Madini ya Vito
*Dk. Biteko asisitiza wadau kuwekeza uongezaji thamani madini
Na Mwandishi Wetu, Best Media
Waziri wa Madini, Dk. Doto...
Rais Samia: Vyama vya Siasa ruksa majukwaani
*Asema ni haki yao kikatiba, atahadharisha matusi, kejeli
Na Mwandishi Wetu, Best Media
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi...
Benki ya NMB yakabidhi msaada wa vifaa tiba Hospitali ya Micheweni...
Na Mwandishi Wetu, Best Media
Benki ya NMB imetoa msaada wa vifaa tiba mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni tisa kwa Hospitali ya...
Mwili wa Papa Benedict waendelea kuagwa
Vatican, Italia
Kwa mujibu wa taarifa zilizowekwa Deutsche Welle (DW) na Vatican News, mwili wa kiongozi huyo umehifadhiwa katika Monasteri ya mama wa kanisa, ukiwa...
Mahakama Senegal yawafunga jela wabunge kwa kumpiga mwenzao
Dakal, Senegal
Mahakama moja nchini Senegal imewahukumu wanasiasa wawili kifungo cha miezi sita gerezani kwa kumshambulia mwenzao mjamzito.
Wanaume hao wawili walimpiga mbunge mwenzao wa...